Siah Sea Moss Products - Mwani

Siah Sea Moss Products - Mwani Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Siah Sea Moss Products - Mwani, Grocers, Dar es Salaam.

Jipatie vidonge vya mwani ,vinatibu 90% ya maradhi na hutumika kama kinga kwa ambaye hajaugua
0713640180 SEAMOSS CAPSULES AVAILABLE FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA

Pia tunauza dawa mbalimbali za asili

USIKAE NDANI BILA HUU MMEA KWA FAIDA YA AFYA YAKO NA KIZAZI CHAKO "SEAMOSS/MWANI".HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA N...
02/02/2025

USIKAE NDANI BILA HUU MMEA KWA FAIDA YA AFYA YAKO NA KIZAZI CHAKO "SEAMOSS/MWANI".HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA NA CHANZO CHA MAGONJWA KATIKA MWILI WA BINADAMU
**************
MWANI//SEAMOSS//MWANI//SEAMOSS
↓ ↓↓ SOMA KWA MAKINI ↓↓↓
Ukitumia vizuri mwani/seamoss k**a moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako.Mwani una madini mhimu 92 na mwili wa binadamu unahitaji madini mhimu 102,mwani una kiwango kikubwa cha madini kwa pamoja kuliko mmea wowote DUNIANI na ulianza kutumika kwa tiba toka Karne ya 18.
**************
SIRI YA CHANZO CHA MAGONJWA NA KAZI YA MWANI/SEAMOSS KATIKA KUZUIA MAGONJWA
**************
Katika tafiti za wakongwe wa tiba za asili wamebaini kuwa k**asi/mucus na asidi/acid mwilini ndio sababu kubwa mbayo husababisha vimelea vya magonjwa k**a virusi,bacteria nk kuishi na kusababisha magonjwa mbali mbali kati.ka mwili.Moja kati ya kazi kubwa na mhimu ya mwani ni kuondoa hali ya uk**asi/mucus mwilini na kuondoa hali yoyote ya chanzo cha uvimbe ambavyo ndio sababu kubwa ya magonjwa.Mwani una kiwango kikubwa cha madini ya Iodine ambayo husaidia kuondoa hali yoyote ya uk**asi ambayo hupelekea magonjwa mengi.Kiuhalisia ukiweza kuweka mwili wako uwe na kiwango sahihi cha alkali na kuondoa mazingira ya uk**asi na kiwango sahihi cha acid basi hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako,katika mimiea na vyakula mwani umekua na kiwango cha juu na sahihi cha alkali ambayo huuweka mwili katika hali ya alkaline na kuzuia magonjwa.
**************
K**A UNA MAGONJWA YAFUATAYO AU K**A BADO HUJAUMWA UNAWEZA KUTUMIA K**A KINGA NA UTAISHI BILA HAYA MAGONJWA
***************
1.VIDONDA VYA TUMBO /GASS/KUJAA KWA ACID
2.PRESSURE
3.ASTHMA
4.KISUKARI
5.TEZI DUME
6.MAGONJWA YA MOYO
7.MAGONJWA YA AKILI
8.lEUKEMIA-kansa ya seli nyeupe ya damu na uboho wa mifupa
9.HOMORN IMBALANCE /HUKOMAZA MAYAI KWA WANAWAKE
10.MAUMIVU YA MISULI NA MIFUPA
12.MATATIZO YA MACHO
13.HUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU KWA WANAUME NA KUONGEZA UFANISI WA TENDO
14.KIKOHOZI SUGU
15.MAGONJWA YA NGOZI
16. UVIMBE AINA ZOTE
17.HUONDOA CHOLESTEROL MWILINI
FAIDA ZAIDI ZA MWANI/SEAMOSS
***************
1.Husaidia mmeng'enyo wa chakula
2.Chanzo cha madini mhimu katika mwili
3.Husaidia afya ya viungo na kuondoa uvimbe
4.Husaidia kupunguza uzito
5.Husaidia kutuliza akili
6.Husaidia kuimarisha afya ya ngozi na nywele
7.Husaidia kuzuia kansa
8.Huimarisha Kinga ya mwili
9.Husaidia kuzuia magonjwa ya moyo na pressure
10.Huzuia kufa ganzi mwilini
11.Huondoa sumu mwilini
12.Hupunguza msongo wa mawazo katika ubongo
13.Huongeza nguvu mwilini
14.Husaidia afya ya ubongo
15.Husaidia afya ya macho
16.Husaidia kupambana na kuzeeka (Anti-aging)
17.Huzuia magonjwa ya mfumo wa upumuaji k**a asthma
18.Hutibu vidonda na makovu
19.Hutibu miguu kuwaka moto kufa ganzi
************
FAIDA ZA MWANI/SEAMOSS KATIKA NGOZI
Kutokana na mwani kuwa na kiwango kikubwa cha madini na vitamins yapatayo 92 kwa pamoja, mwani umekuwa msaada mkubwa katika afya ya ngozi na kusaidia yafuatayo.
1.Kuchelewesha kuzeeka kwa ngozi kwa kuondoa makunyanzi na kuipa ngozi vitamini na madini mhimu.
2.Kuondoa chunusi na kuondoa aina zote za uvimbe katika ngozi. Mwani una kiwango kizuri cha Sulfur ambayo inazuia uzalishaji wa sebum na kuondoa chunusi.
3.Kufanya ngozi kuwa nyororo, ya kung'aa na laini yenye afya.
4.Kuondoa uvimbe wa aina mbali mbali na mafuta mafuta katika ngozi.
5.Hutibu vidonda na michubuko katika ngozi.
6.Husaidia kuondoa makovu katika ngozi.
7.Hutibu upele, miwasho, harara, mapunye, majibu na kila aina za uvimbe katika ngozi.
8.Huondoa fangasi za miguuni, magaga na magamba magumu katika ngozi na miguu.
9.Huondoa makunyanzi katika ngozi na upele baada ya kunyoa.
10.Hutibu pumu ya ngozi.
Kwa ubora wa seamos/mwani katika kutibu ngozi ikapewa jina la "Vegan-Collagen"
*BIDHAA ZA MWANI*
KOPO MOJA KWA 35,000

KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA
SIMU:0713640180
Location ni GOBA MBEZI
FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA KARIBUNI

USIKAE NDANI BILA HUU MMEA KWA FAIDA YA AFYA YAKO NA KIZAZI CHAKO "SEAMOSS/MWANI".HUU MMEA UNA SIRI KUBWA YA KUPAMBANA N...
28/12/2024

1.VIDONGE VYA MWANI 60 KWA 35,000

KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA
SIMU:0713640180
Location ni GOBA MBEZI
FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM
MIKOA YOTE TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA KARIBUNI

MORINGAMORINGA una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zai...
22/12/2024

MORINGA
MORINGA una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
Vidonge vya moringa vinasaidia kuondokana na adha ya magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
1. U.T.I SUGU
2. P.I.D
3. FUNGUS
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Inasafisha ini(hepatic detoxification)
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoadoa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,

Jipatie vidonge vya moringa kwa sh 30,000
Free delivery kwa wakazi wa dar
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Piga 0713 640180 kwa huduma ya haraka
Tunapatikana Dar _Goba.

20/12/2024
MWANI NA FAIDA ZAKE.Katika tafiti za wakongwe wa tiba za asili wamebaini kuwa k**asi/mucus na asidi/acid mwilini ndio sa...
17/12/2024

MWANI NA FAIDA ZAKE.

Katika tafiti za wakongwe wa tiba za asili wamebaini kuwa k**asi/mucus na asidi/acid mwilini ndio sababu kubwa ya mazingira ambayo husababisha vimelea vya magonjwa k**a virusi, bacteria n.k,
kuishi na kusababisha magonjwa mbali mbali katika mwili.

Moja kati ya kazi kubwa na mhimu ya mwani (sea moss) ni kuondoa hali ya uk**asi/mucus mwilini na kuondoa hali yoyote ya chanzo cha uvimbe ambavyo ndio sababu kubwa ya magonjwa.

Mwani una kiwango kikubwa cha madini ya lodine ambayo husaidia kuondoa hali yoyote ya uk**asi ambayo hupelekea magonjwa mengi.

Kiuhalisia ukiweza kuweka mwili wako uwe na kiwango sahihi cha alkali na kuondoa mazingira ya uk**asi na acid basi hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako, katika mimea na vyakula mwani umekua na kiwango cha juu na sahihi cha alkali ambayo huuweka mwili katika hali ya alkaline na kuzuia vimelea na uvimbe wowote unaweza kujitokeza na kusababisha magonjwa mwilini.

Ukitumia mwani Kila siku Unaweza kupunguza maumivu kutokana na kuvimbiwa, Wakati huo huo, mwani ni msaada Unasaidia detoxification ufanye mwani dawa ya tumbo masuala ya utumbo k**a vile indigestion, gastritis, vidonda Vya tumbo na kuvimbiwa.

Mwani sio salama tu kwa binadamu pia wanyama nzuri kwa wanyama k**a vile , ng''ombe, kuku samaki nk Kwa sababu una maudhui ya juu ya kalsiamu na potasiamu ambayo hutoa msaada kwa figo na kibofu, unaboresha nywele za wanyama hawa na kusaidia kwenye kuzaliana kwa haraka zaidi pia kuwapa kinga kwa kupambana na virusi.

Ukitumia vizuri mwani/seamoss k**a moja ya vyakula katika ratiba zako za mlo hamna ugonjwa wowote utaishi mwilini mwako.

Mwani una madini muhimu 92 na mwili wa binadam unahitaji madini muhimu 102, mwani una kiwango kikubwa cha madini kwa pamoja kuliko mmea wowote DUNIANI na ulianza kutumika kwa tiba toka Karne ya 18

Mwani unatumiwa pia k**a skincare, mwani ni antibacterial, antiviral, na antimicrobial kwa pamoja inaaminika kua kusaidia Sanaa ngozi.

Pia husaidia kutoa unyevu kwa Ngozi kavu kuacha ngozi yenye afya .
Mwani unajulikana kwa kutibu magonjwa mbalimbali ya ngozi k**a vile psoriasis unaweza kupaka juu ya ngozi au kuharibu na ngozi iliyoharibika au kupakwa sehemu iliyo vimba kupunguza maumivu ya misuli na magonjwa yanayohusiana na tezi.

Mwani ni chanzo kikubwa chenye kalsiamu pia ni mojawapo ya tiba bora za asili kwa afya nzuri ya mfupa.

Pia mwani una magnesiamu ambayo husaidia mwili kunyonya kalsiamu kwaajili ya kuzuia masuala ya mifupa na pamoja k**a arthritis

Mwani unapaka usoni k**a Mask ni njia nzuri ya kuondokana na matatizo ya ngozi yako, hasa ikiwa unapambana na allege na weusi .

Mwani unafanya kazi nzuri ya kuondoa seli za ngozi zilizokufa.

Fanya mwani k**a sehemu ya chakula chenye afya, unaweza kusaidia usimamizi wa sukari ya damu na uwezekano wa kupungunza hatari ya ugonjwa wa kisukari.

Mwani una carotenoid na fucoxanthin, ambazo husaidia kupunguza upinzani wa insulini na kusaidia udhibiti bora wa sukari ya damu. Maudhui ya juu ya fiber pia mwani huu husaidia kupunguza kasi ya digestion kwa wagonjwa wa kisukari.

K**a tayari uko kweny changamoto ya kisukari tutumia mwani ili kupata virutubisho mhimu pia mwani una kupa kiasi kikubwa cha zinki za asili hii inamaanisha husaidia kupunguza Athari zinazotokana na kisukari.

Zinc ni mihimu kutibu kisukari kuliko unaweza kufikiria mwani pia ina folate (B9) na Riboflavin (B2). Zote kwa pamoja huchangia viwango vya nishati kwa ujumla kusaidia mwili kutengeneza seli nyekundu za damu na kuvunjavunja mafuta, na protini.

Tumia mwani kwa ajili ya kuponamisuli unamadini mhimu hutoa misaada kwenye misuli na kupunguza maumivu ya pamoja.

Ikiwa wewe ni mwanariadha, mtu wa gym au kufanya aina yoyote ya mazoezi kwa kuinua vitu vizito katika kazi, tumia mwani wa bahari utakusaidia kupata madini ambayo hupungua mwilini wakati wa kufanya shughuli hizi.

Mwani una asidi ya amino. Vitamini C na Antioxidants ambizo huupa nguvu mwilli za keweza kupambana na virusi ambazo kuimarisha mfumo wa kinga na kuzuia uharibifu wa seli.

Pia huongeza afya ya gut kwa kuondoa k**asi kutoka mwilini ambayo inasaidia mfumo wa kinga ya afya.

Hivyo, huupa mwili nishati zaidi, ulinzi zaidi wa kupambana na maambukizi. Inafaa kwa kila siku kutumiwa mwani k**a chakula ni mzuri kwa mtu yeyote ( ambaye anataka kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwani mwani unakiasi kikubwa cha zink ambazo ni mhimu kwa afya ya uzazi jinsia zote mbili)

Mwani ni bidhaa ya chakula ambayo imekuwa maarufu katika miaka ya hivi karibuni, ina vitamini na madini, lakini pia ina faida za afya za ukombozi k**a vile ;vitamini A, B, C na D nk.

Kwa ufupi ukitumia mwani unaenda kusaidia mifupa yako, bongo, misuli, tezi, pumzi, magoniwa ya pulmona na kupumua, kikohozi, ugonjwa wa meno, hupunguza hamu ya kula na kuchoma mafuta mabaya mwilini. Unaweza
pia kutumia ili kudhibiti fumo wa chakula, ngozi, vidonda tumbo, figo, moyo nk. mafuta ya omega-3 na vitamini K, ni muhimu kwa mfupa na afya ya joint vitamini B2 husaidi kuvunja mafuta na kuzalisha nishati, wakati vitamini B9 ni muhimu kwa DNA.

Bila kusahau Maji ya chumvi na mboga za bahari ni nzuri kwa mfumo wa tezi. Vijiko2-3 vya gel ya mwani inapendekeza kila siku.

Mwani Una maudhui ya juu ya iodini unaweza kuchochea uzalishaji wa homoni ya tezi ya kudhibiti hamu yako ya kula hii inasaidia zaidi ya kupoteza uzito, jaribu kuongeza mwani kwenye chakula chako pendwa ikiwa unataka kupungua haraka.

Mwani ni k**a mboga nyingine za baharini lakini kwa nini tunasema ni superfood kutoka baharini kuzidi mboga nyingine zote za baharini kwasababu mwani una uwezo mkubwa wa kusaidia kutibi vitu vingi kwa pamoja (dawa) huondoa kuvimbiwa ,kutibu ngozi, mishipa n.k

Zaidi ya hayo, hutumiwa k**a kiungo muhimu katika creams nyingi za ngozi na lotions za mwili.

Mwani unasaidia suala la uzazi , unajua kwamba huu mwani katika Visiwa vya unguja na Pemba unajulikana k**a unaongeza Nguvu za Kiume. Inaelezwa kuwa mwani ni mzuri kwa ajili ya uzazi hutumiwa na watu wengi k**a chanzo cha ziada cha kuongeza Nguvu na hamu ya tendo la ndoa .

Kutumia mwani Kila siku ni aina ya asili ya kuongeza nishati kwa kuongeza testosterone na manii kwa wanaume.

Wanaume wa ndani katika visiwa hivi hutumia k**a aphrodisiac kabla ya kujihusisha na tendo la ndoa.

Mwani umekua unajulikana kwa ajili ya kuimarisha tendo la ndoa, kwa miaka mingi, na ni ujuzi wa kawaida kwa wakazi wa maeneo ya pwani kwamba inaweza kutumika kusaidia uzazi wa kiume na wa k**e.

Kutokana na kiwango cha kuu cha zinki zilizomo katika mwani husaidia wanaume kuongeza nguvu ya prostate wanakua na manii yenye afya na kuongeza kiasi cha shahawa ambacho kinaweza kuzalisha watoto
Anemia ni hali ambapo mwili hauna seli za damu nyekundu za kutosha kubeba oksijeni kwa tishu za mwili. Hii inaweza kusababisha dalili k**a uchovu, udhaifu, na upungufu wa pumzi.

Upungufu wa madini chuma ni sababu ya kawaida ya anemia, mwani ni chanzo cha asili cha madini chuma ambacho
kinaweza kusaidia kuongeza viwango madini chuma, husaidia kupigana dhidi ya upungufu wa damu na kuwezesha kuwa na afya njema mwani unaongeza nishati madini chuma ambayo yana uwezo wa kusaidia mzunguko
mzuri wa oksijeni kwenye damu.

Mwani ni moja ya vyanzo bora vya mimea ya asidi ya mafuta ya omega-3. Mafuta haya ni muhimu kwa afya ya moyo. Kwa kweli kwa kutumia mwani Kila siku utasaidia kupata mafuta ya omega-3 kupunguza ugoniwa wa moyo, cholesterol ya juu na shinikizo la damu (presha)

Mwani Una potasiamu kwa wingi ni madini muhimu sana ambayo yanasaidia afya ya akili na hisia.

Upungufu wa potasiamu unaweza kusababisha kuchanganyikiwa, unyonge, wasiwasi, hofu, na uchovu. Kwa kuwa mwili hauhifadhi potasiamu kwa vipindi vingi, unahitaji kujaza katoka mwili wako mara kwa mara kwa kutumia mwani .

Na njia moja unaweza kufanya hivyo ni kwa kunywa kila siku k**a sehemu Yako ya mlo hata k**a huna changamoto yeyote ya kiafya.

Mwani Una uwezo wa kupunguza matatizo ya akili, hii inaweza kusaidia kuongeza afya ya neva. Kwa kutumia wa tafiti mbalimbali waligundua kua mwani una uwezo wa kusaidia Afya ya neva

Pia mwani unasaidia kuondoa Kikohozi na msongamano na kutoa k**asi za ziada kwenye mapafu

Mwani una tumiwa sana k**a mbadara kupambana na mafua na afya ya mapafu katika tamaduni nyingi za pwani duniani kote.

Mwani unasaidia kupambana na saratani. Mwani una nguvu sanaa una madini muhim k**a vile iodine, potasiamu, phosphate, bromides, na asilimia kubwa ya zink, magnesiamu, na kalsiamu. Ikiwa una aina yoyote ya shida upungufu wa madini mwani ni dawa bora ya asili. Ukianza kutumia mwani unakua hujakosea unachukua madini mengine yote kwa usawa wa uwiano.

Tezi ya thyroid inatumia iodini ya asili kufanya Kazi za mwili, kupata matatizo ya Tezi ina maana kwamba kuna hali ya asidi ambayo inasababisha kushindwa kwa iodini kutumika ipasavyo hivyo hupunguza mwili utendaji wake wa Kazi, kupeleka matatizo mengi k**a vile uvimbe wa shingo, kupungua kwa nishati, kwa hiyo tunatakiwa
kua makini kwa kuchukua hatua mapema kusaidia mfumo huu mkuu wa neva na tezi kwa kutumia mimeayenye iodidi na
potasiamu nyingi, bromides na phosphates K**a mwani

Mwani husaidia kupunguza kukohoa.
Kwa hiyo, ukiwa na mwani ndani acha wasiwasi juu ya homa, za mafua na koo mara kwa mara. K**a unatumia mwani wakati wote maradhi kwako kitendawili unajulikana kwa kupunguza masuala mengi ya Mfumo wa chakula k**a vile indigestion, gastritis, vidonda, na kuvimbiwa.

Mwani unasaidia kusafisha uchafu wote kwenymfumo wa chakula na kuta za tumbo na zaidi kuharakisha kuondoa sumu mwilini na uvimbe ukitumia mafuta ya samaki ni Sawa sawa na asidi ya mafuta yaliyopatikana katika mwani vyote husaidia kupambana na uchochezi wa uvimbe mwilini. Mwani husaidia kuzuia uvimbe ktk joint

JIPATIE VIDONGE VYA MWANI KWA 35,000 TU. VIDONGE 60
TUNAHUDUMA YA FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA

Seamoss jelly 😋
10/12/2024

Seamoss jelly 😋

06/12/2024

MORINGA KIBOKO YA U.T.I FUNGUS NA P.I.D

MORINGA una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
Vidonge vya moringa vinasaidia kuondokana na adha ya magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
1. Kisukari
2. Shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Inasafisha ini(hepatic detoxification)
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoadoa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,

Jipatie vidonge vya moringa kwa sh 30,000
Free delivery kwa wakazi wa dar
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Piga 0713 640180 kwa huduma ya haraka
Tunapatikana Dar _Goba

Jipatie vidonge vya mwani ,vinatibu 90% ya maradhi na hutumika k**a kinga kwa ambaye hajaugua
0713640180 SEAMOSS CAPSULES AVAILABLE FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA

Pia tunauza dawa mbalimbali za asili

MORINGAMORINGA una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zai...
06/12/2024

MORINGA
MORINGA una viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali mwilini 36, una asidi amino 18 na asidi amino muhimu zaidi 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzitengeneza.
Vidonge vya moringa vinasaidia kuondokana na adha ya magonjwa zaidi ya 300 mwilini, magonjwa hayo ni pamoja na;
1. Kisukari
2. Shinikizo la juu la damu
3. Hutibu matatizo au maumivu ya mishipa
4. Hutuliza mapigo ya juu ya moyo (stroke),
5. Hutibu Kansa
6. Pumu
7. Hutuliza wasiwasi
8. Kikohozi
9. Maumivu ya kichwa
10. Inazuia na kushusha lehemu (cholesterol) hata ile ya juu zaidi (hypocholesteremia)
11. Inapunguza mafuta tumboni
12. Inaweka sawa homoni
13. Inatibu maumivu wakati wa hedhi (dysmenorrhea),
14. Inasafisha ini(hepatic detoxification)
15. Unasafisha mkojo na kibofu cha mkojo
16. Unarekebisha matatizo kwenye tezi
17. Unatibu kipindupindu na kuharisha
18. Kifua kikuu
19. Kichwa kizito
20. Uchovu
21. Mzio (aleji)
22. Vidonda vya tumbo
23. Maambukizi kwenye ngozi
24. Maumivu mbalimbali mwilini
25. Huondoa madoadoa meusi kwenye ngozi (blackheads),
26. Husafisha damu
27. Hutibu matatizo kwenye koo
28. Huondoa makohozi mazito kooni
29. Huondoa taka na msongamano kifuani
30. Hutibu kipindupindu
31. Huondoa mtoto wa jicho au uvimbe kwenye jicho
32. Hutibu maambukizi kwenye macho na kwenye masikio
33. Unatibu homa
34. Maumivu kwenye maungio
35. Huondoa chunusi
36. Hutibu matatizo karibu yote ya ngozi na kinga ya mwili
37. Matatizo kwenye mfumo wa upumuaji
38. Inatibu Kiseyeye (scurvy)
39. Huongeza uwingi wa mbegu za kiume na nguvu kwa ujumla
40. Unatibu minyoo
41. Huongeza maziwa kwa wingi kwa mama anayenyonyesha
42. Huondoa uvimbe kwenye utumbo mpana (colitis)
43. Unatibu gauti (dropsy),
44. Unatibu kuhara damu (dysentery)
45. Unatibu kisonono ( gonorrhoea)
46. Unatibu tatizo la kukosa usingizi,

Jipatie vidonge vya moringa kwa sh 30,000
Free delivery kwa wakazi wa dar
Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Piga 0713 640180 kwa huduma ya haraka
Tunapatikana Dar _Goba.

Seamoss organic
04/12/2024

Seamoss organic

25/11/2024

WANAHITAJIKA MAWAKALA WAKUUZA DAWA YA MWANI (SEAMOSS)
MIKOA IFUATAYO
ARUSHA
MOSHI
TANGA
DODOMA
IRINGA
MBEYA
MWANZA
SINGIDA
RUKWA
SHINYANGA
MTWARA
BUKOBA
TABORA
KIGOMA
KAGERA
KATAVI
BAGAMOYO
KISARAWE
DAR ES SALAAM
K**A UNAHITAJI WAKALA PIGA 0713 640180
MTAJI WAKO NI LAKI MBILI TUU! 200,000
WATEJA TUNAKUPATIA SISI CHANGAMKA NDUGU MWANI UNAHITAJIKA KWA WINGI
NA KWAYEYOTE ANAYETAKA KUFANYA BIASHARA YEYE BINAFSI UNAKARIBISHWA

Jipatie vidonge vya mwani ,vinatibu 90% ya maradhi na hutumika k**a kinga kwa ambaye hajaugua
0713640180 SEAMOSS CAPSULES AVAILABLE FREE DELIVERY KWA WAKAZI WA DAR MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA

Pia tunauza dawa mbalimbali za asili

Instagram
06/11/2024

Instagram

20 Followers, 18 Following, 10 Posts - See Instagram photos and videos from Mwani seamoss jumla na Rejareja 0713640180 ()

*Uwiano kati ya SEA MOSS na nguvu za kiume ifuatavyo*Zinc huongeza testosterone kwa kiwango chake cha juu. Zinc ni madin...
31/10/2024

*Uwiano kati ya SEA MOSS na nguvu za kiume ifuatavyo*

Zinc huongeza testosterone kwa kiwango chake cha juu. Zinc ni madini ambayo hutoa faida moja kwa moja kwenye testosterone. Homoni hii ina jukumu muhimu katika afya ya wanaume na maisha ya uzazi wake. Upungufu wa zinc pia unaweza kusababisha dysfunction erectile. Wanaume ambao wana matatizo ya chini ya libido wanaweza mara nyingi kutibu tatizo lao kwa kuongeza ulaji wao wa vyakula vyenye zinc kwa wingi kila siku k**a sea moss ili kua na viwango vya testosterone bora. Sea moss ina kiwango kikubwa cha Zinc inaweza kuongeza viwango vya testosterone na libido ya wanaume. Sababu zingine za hatari ni pamoja na zile za kimwili k**a hali ya moyo, shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, viwango vya chini vya testosterone, dawa, na nyingine, pamoja na matatizo ya kisaikolojia k**a vile wasiwasi, uchovu, matatizo ya uhusiano, na mengine.

Matibabu ya dysfunction erectile ni tofauti inafaa ujitibu kutokana na kujichunguza sababu. Sea moss inaweza kusaidia kuongeza uwezo wa erectile Dysfunction kutokana na virutubisho pia kudumisha viwango vya juu vya nishati, ambayo ni muhimu kwa er****on.
Sea moss pia inajulikana kuboresha mzunguko wa damu na afya ya moyo, ambayo inahusishwa moja kwa moja na masuala ya er****on. Mtiririko mzuri wa damu katika uume ni muhimu kwa kazi ya erectile. Madini ya iodine pia yanaweza kuboresha uwiingi na ubora wa manii pia sea Moss kusaidia sana kuweka sawa afya ya akili na uwezo wake na kusaidia kurudisha hisia hii inasaidia wanaume kushinda wasiwasi wa kufanya tendo.
Wasiwasi ni sababu ya dysfunction erectile katika kesi nyingi zaidi kuliko wewe kufikiri ...

Kwa kuzingatia kile tumejadili hapo juu, ikiwa sea moss ya bahari inaweza kuongeza libido yako, kuongeza viwango vya nishati yako, na kuboresha kazi ya erectile, mzunguko mzuri wa damu hakika k**a uko kwenye changamoto jaribu sea moss ni mjarabu🔥. Lakini kumbuka kwamba matokeo hutegemeana kwa watumiaji.

Tupigie 0713 640180 kwa mawasiliano zaidi

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Siah Sea Moss Products - Mwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category