Tollyzkitchen

Tollyzkitchen Mapishi,vyakula na virutubisho Ukurasa huu ni ukurasa rasmi wa tovuti ya www.tollyzkitchen.wordpress.com

Tollyzkitchen ni jiko linalofundisha juu ya chakula na mapishiJiko hili huendeshwa na Mtanzania katika Lugha ya kiswahili
kwa ajili ya watumiaji wote wa lugha ya kiswahili.

We bake it for you
30/05/2026

We bake it for you

29/05/2026

Weekend hii Fanya mabadiliko mezani,tengeneza kicheko jipya Kwa watoto.
Hawatakumbuka ada za shule ulizolipa wala bili za hospitali ulizolipa watakapokua wakubwa.Ila watoto wako watakumbuka mambo madogo madago k**a haya,carrot cake on a weekend.
Na utu uzima huu,nakumbika the old good days mama alipokua anatuandalia vitu vitam k**a hivi on weekends.

Bonyeza link kwenye BIO,fata maelekezo Kisha pika.

NI neema ya Mungu Tu imekufikisha hapo ulipo,sio ujanja wako,wala ujuaji wako,Jifunze kuheshimu hatua ya kila mmoja pale...
28/05/2026

NI neema ya Mungu Tu imekufikisha hapo ulipo,sio ujanja wako,wala ujuaji wako,Jifunze kuheshimu hatua ya kila mmoja pale alipo.maana na yeye haponalipo NI neema ya Mungu Tu imemfikisha..

Ninakupenda.

21/05/2026

Mje sasa na kelele zenu ,Nawasubiri Kwa hamuu.....
K**a unajua Una kilo zako chini ya 60 ,yaani unalizidi gunia kubwa la sukari kilo 10 Tu,tulia hapa chukua recipe kapike....bado hujanenepa.wale Wa kilo 60 kuendelea hata hatuhimizani kupika,Najua unapika.kipenzi.

Haya ,under 60 kg k**ata recipe ila nyie niongeze mafuta mengi na Kikombe cha maziwa,au n**i (mnenepe kidogo)

Mafuta weka yakutosha
Vitunguu maji 2
Curry powder
Nyanya 3 kubwa
Giligiliani
Vitunguu swaumu k
Ndizi bukoba (zaidi ya name)
Nyama ya ng'ombe kilo moja

Haya wale Wa under 60kg....ongeza izo vitu nimesoma.

21/05/2026

Hali ni Tete,hakuna namna tunabaki kwenye bei za zamani.kila kitu kimepanda hatariiiiii.

Dear mteja,karibu kwenye bei Mpya za cake hapa jikoni.tupo k**a kawaida tayari kukuudumia.

21/05/2026

We cake it for you

20/05/2026

Karibu kwenye "Celebrating you"birthday party,Tarwhe 13 June ,tutakya na a big birthday party celebrating all the birthdays zilizowakuta watoto wetu mashuleni na hawakuweza kusherekia.

Iactivities zitakua k**a zote
Cake decorating
Painting
Dancing
Gifts
Awards

Am thinking ,we should add the red carpet.....come party with us

Tickets zinapatokana Tolly's kitchen
0769 003955

19/05/2026

Tuna namna yetu ya kiMUNGU ya Kufanya mambo,njoo jifunze kwetu.hata vikionekana vinafeli,vimeharibika..Neno linasema vitachepua tena

We cake it for you.....chocolate  cake never fail
18/05/2026

We cake it for you.....chocolate cake never fail

Keki za harusi NI bajeti yako Tu inaamua iweje.lile Neno lenu etii "cake za harusi za anzia bei gani"..jibu NI hili,baje...
18/05/2026

Keki za harusi NI bajeti yako Tu inaamua iweje.lile Neno lenu etii "cake za harusi za anzia bei gani"..jibu NI hili,bajeti yako ndio inaamua .ukiwa la laki 4,,5,6 unapata keki,ukiwa na Milioni 1,2,3 adi 12 pia unapata keki......we njoo na bajeti yako .
Karibu sana jikoni
Call 0769 003955

Address

Dira
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tollyzkitchen posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share