13/11/2025
P I D
Nimagonjwa yanayo shambulia viungo vya uzazi vya mwanamke.
Ikiwa ni pamoja na uke, mirija inayo unganisha mfuko wa uzazi na overi.
Ingawa chanzo cha P.I.D kinaweza kutokana na kutokuzingatia usafi wa viungo vya uzazi vya mwanamke.
Lakini Mara nyingi usababishwa na maambukizi ya yatokanayo na bakteria wa magonjwa ya zinaa.
Athari za maambukizi hayo usababisha:-
makali ya tumbo.
uchafu na harufu mbaya isivyo kawaida ukeni.
mbaya wa hedhi tofauti na kawaida.
la uzazi
Hisia na kupoteza hamu ya tendo
pindi unapo kojoa na wakati wa kushiriki tendo
Taadhari:
K**a tatiza litaachwa bila kuchukulia hatua za haraka katika matibabu linaweza kusababisha utasa au madhara makubwa k**a Cancer ya shingo ya kizazi n.k.
Kinga sahihi ni kuzingatia usafi wa viungo vya uzazi pamoja na kutumiaji maji safi na salama, bila kuweka au kutumia kemikali ukeni, Usafi wa mazingira na vifaa vinavyo tumika, ikiwa ni vyoo na vifaa vingine k**a viombo vya kunawia, na vifaa vitumikavyo kwa mwanamke kwenye Ada zake, pia inapaswa kushiriki ngono salama,
Ushauri:
Mwanamke ukihisi kuna tofauti yoyote kwenye viungo vyako vya uzazi nenda mahabara uliyo karibu nayo upate vipimo sahihi,,,