Kide Nginja Master

Kide Nginja Master Kuku wanyama wanapatikana oda mapema

17/04/2026
17/05/2025

Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), noti ya Shilingi 10,000 ndiyo noti inayotumika zaidi nchini Tanzania, ikichangia zaidi ya asilimia 85 ya fedha zote zinazozunguka nje ya mfumo wa benki.

Kwa mujibu wa BoT, zaidi ya Shilingi trilioni 7.1 katika noti za TZS 10,000 zipo kwenye mzunguko kwa ajili ya matumizi ya kila siku kote nchini. Ikilinganishwa na hilo, noti za Shilingi 5,000 zikiwa Shilingi bilioni 674, noti za Shilingi 2,000 zikiwa Shilingi bilioni 279, noti za Shilingi 1,000 zikiwa Shilingi bilioni 199, na noti za Shilingi 500 zikiwa Shilingi bilioni 60 pekee.

Sarafu zinatumiwa kwa kiwango kidogo zaidi, ambapo sarafu za Shilingi 200 zikiwa na thamani ya Shilingi bilioni 50, Shilingi 100 zikiwa Shilingi bilioni 34, na sarafu za Shilingi 50 zikiwa Shilingi bilioni 16.

Zaidi tembelea swahilitimes.co.tz

18/04/2025

Kwenye sherehe ya Manara na Mkewe Zaiylisa pale Superdome Masaki, Manara alishika Mic na akasema "Hii ndo ndoa yangu ya mwisho, kuoaoa sio sifa nzuri japo Dini inaruhusu, ivyo nataka nikuaidi zai nitakupa Furaha mpaka walimwengu watajuta.😭🙌

Je walimwengu Mmejuta?🤣🙌

15/03/2025

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255685210901

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kide Nginja Master posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share