28/05/2026
Kwa Wafugaji Wa Kuku Na Bata Tu ๐ฃ
Mayai mengi yanaharibika?
Vifaranga havitoki vizuri?
Au vifaranga vinatoka vichache kuliko mayai uliyoweka?
Wafugaji wengi hupata hasara bila kujua tatizo linatokana na incubator yenyewe.
Incubator nyingi hushindwa:
โ kusambaza joto vizuri
โ kutunza hali nzuri ya utotoleshaji
โ kutoa matokeo mazuri ya vifaranga
AGC INCUBATOR tunazo FULL AUTOMATIC INCUBATORS zinazosaidia:
โ
mayai kugeuzwa yenyewe
โ
kutotolesha mayai mengi kwa wakati mmoja
โ
kupata vifaranga wengi kwa mkupuo
โ
kutumia umeme wa kawaida au solar
โ
matumizi madogo ya umeme
Zinafaa kwa:
โฌค wanaoanza ufugaji
โฌค wanaotaka kuongeza uzalishaji
โฌค biashara ya vifaranga
Bonyeza WhatsApp tukupe maelezo, video za matumizi na size inayokufaa.
Tupo Arusha โ Kwa Morombo.