08/03/2023
Karibu na ushinde katika duka letu la Wandugu Convenience Store. Msimu huu wa sikukuu ni nafasi yako kujishindia kifurushi chetu cha pasaka ambacho ni vocha ya manunuzi ya kiasi cha shilingi 30,000.
Alika watu kujiunga na page hii halafu wakutag kwenye comment ya post hii.Yule mwenye kutagiwa zaidi atakuwa ndiye mshindi na atachukua vitu vyashilingi 30,000 bure.
Shindano la pili ni kufika dukani kwetu maeneo ya Uswahilini Caravat mtaa wa mlimani. Ukinunua kuanziavitu vya shilingi 10,000, utaingia kwenye droo yetu ya kushindavitu vya shilingi 30,000 bure.
Karibu umwambie na mwingine.