26/10/2026
Good morning, my country people! π°πͺ
Jana nilisoma comments zenu zote, hata k**a zilikuwa mingi sana Naona kweli mmenimiss, lakini mjue mimi nimewamiss zaidi
Shida ni time tu, siku hizi kuingia Facebook imekuwa tricky kidogo, lakini mapenzi yangu kwenu bado ni yale yale!
Na juu ya hiyo love mmenionyesha, leo nanunua chai kwa watu 10 β
Tafuteni Sue Bebeto huko kwenye comments, juu siku hizi mpaka hanitag tenaπ€£ Sue, kwani tulikosana lini?
Good morning once again, my beautiful people Sending you lots of love, hugs, and blessings wherever you are!π