Comrade Chicken Farm

Comrade Chicken Farm Pure Kienyeji Chicks
Kenbro Chicks
Fertilized Eggs

๐Š๐š๐›๐š๐ซ๐š๐ค,๐๐š๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ
๐ŸŽ๐Ÿ•๐ŸŽ๐Ÿ”๐Ÿ–๐ŸŽ๐Ÿ”๐Ÿ๐Ÿ‘๐Ÿ

Bag Ni Ya Nini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kila Siku Wana Invent New Styles๐Ÿ˜‚.
23/10/2026

Bag Ni Ya Nini?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kila Siku Wana Invent New Styles๐Ÿ˜‚.

Solved Water Problem For Good.Mkinichagua 2027 Nta Ensure Kila Mtu Ako Empowered, Mayai Tray Moja Every Week To Every Ho...
23/10/2026

Solved Water Problem For Good.

Mkinichagua 2027 Nta Ensure Kila Mtu Ako Empowered, Mayai Tray Moja Every Week To Every Household Na Mwisho Mwezi Kuku Ya Kuchinja๐Ÿ˜‚.

Mi Hata Sitaki U President,Aah Ah,Ati Senator? Apana,Mi Nataka Gavana๐Ÿ˜‚.

Na Si Speed Gavana, Nataka Ku Represent Rukuna๐Ÿ˜‚,

Sa Mnasema Aje Niwaongoze Ama Niache Ujinga?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

23/10/2026

What I love to do๐Ÿฅฐ.

Today Shuguli Ilkua Mingi,Si Unajua Clearance Pale Chuo Vile Ni Hectic๐Ÿ˜ฐ.But Ma Comrades Lazima Wakule. Farming Nka Maish...
22/10/2026

Today Shuguli Ilkua Mingi,Si Unajua Clearance Pale Chuo Vile Ni Hectic๐Ÿ˜ฐ.

But Ma Comrades Lazima Wakule.

Farming Nka Maisha,Lazima Ujipange Tu,Uwezi Ka Tu Ivi Ivi Bila Mwelekeo.

Mi Nataka Sa Ku Incorporate Skills Nmepata Pale Class Ya IT Kwa Farming,Nione Vile Itanipeleka.

TechFarm It Is๐Ÿ˜‚.

Pure Kienyeji Chicks Ukiwapea Quality Feeds Nayo For Sure Wata Grow๐Ÿ’ฏ.Nme Order Jamaa Wangu Wa Kisiagi Anieke Maize Germ ...
21/10/2026

Pure Kienyeji Chicks Ukiwapea Quality Feeds Nayo For Sure Wata Grow๐Ÿ’ฏ.

Nme Order Jamaa Wangu Wa Kisiagi Anieke Maize Germ 20kg Alafu Nifanye Ma 1 2 Zangu Nikue Na Complete Feed,Juu Hawa Nao Nataka Niwaonage Everyday Unless Ukuje Na Kichele๐Ÿ˜‚.

Hakuna Mkate Mgumu Mbele Ya Comrade, Labda Exam Tu Na Nlishamaliza,Nkupe Invitation?๐Ÿ˜‚

Piga Follow,Ulizia Io Kitu Imekusumbua Apo Kwa Farm.

Let's Grow Together๐Ÿ™๐Ÿซ‚.

Kenye Unaona Hapa Si Chicks Tu.Discipline Na Consistency๐Ÿ’ช๐Ÿ’ฏ.Kila Siku Na Show Up,Either Sick Or In Good Health Na Show Up...
21/10/2026

Kenye Unaona Hapa Si Chicks Tu.

Discipline Na Consistency๐Ÿ’ช๐Ÿ’ฏ.

Kila Siku Na Show Up,Either Sick Or In Good Health Na Show Up, Nliachwa Na Msupa,Heartbreak Inauma But Still Na Show Up๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kuna Client Alinipeleka Kombo Hesabu Haziingiani But Nta Show Up๐Ÿ˜‚.

Prepared Or Unprepared,We Show Up.

Good Morning Fham๐Ÿคš๐Ÿฅฐ.

Me Giving My Chicks Reason To Sell Them."Little one, itโ€™s a simple calculus. This universe is finite, its resources fini...
20/10/2026

Me Giving My Chicks Reason To Sell Them.

"Little one, itโ€™s a simple calculus. This universe is finite, its resources finite. If life is left unchecked, life will cease to exist.โ€

For The Good Fate Of The Farm,Nitawauza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Good Student Of Thanos๐Ÿ˜‚.

Don't Wait To Be Celebrated,Be Your Own Hero๐Ÿ’ช.Leo Lazima Niharibu Meza๐Ÿ˜‚,One Rooster Can't Hurt?Kila Siku Ni Holiday Kwa ...
20/10/2026

Don't Wait To Be Celebrated,Be Your Own Hero๐Ÿ’ช.

Leo Lazima Niharibu Meza๐Ÿ˜‚,One Rooster Can't Hurt?

Kila Siku Ni Holiday Kwa Sisi The Unemployed,Especially Comrades๐Ÿ˜‚.

Happy Mashujaa Day๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชโค๏ธ.

Wameniambia Wanataka Proper Spacing Kuna Vile Wame Grow Waist Na Hips Na Pia Shoulders Zime Broaden๐Ÿ˜‚.Nkawaambia I Have W...
19/10/2026

Wameniambia Wanataka Proper Spacing Kuna Vile Wame Grow Waist Na Hips Na Pia Shoulders Zime Broaden๐Ÿ˜‚.

Nkawaambia I Have Waited For This Time,Nmeunda Mansion Yenu Hapa Juu.

Right Now Wanaangalia Through The Window,Wondering Why Their Father Amewapitisha Maisha Ngumu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

My Homies,This Onesโค๏ธ.

You Can Tell When Chicks Are Full, Azin Not Hungry๐Ÿ˜‚.They Are Jumpin Everywhere And That's A Good Sign Of An Healthy Chic...
19/10/2026

You Can Tell When Chicks Are Full, Azin Not Hungry๐Ÿ˜‚.

They Are Jumpin Everywhere And That's A Good Sign Of An Healthy Chick And Sign Of A Mad Man๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

No Kugeria Mani.

Address

Rongai

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Comrade Chicken Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category