12/11/2026
Praise the Lord
Nasema wewe Mwenye Ananifutilia kwa hii Page Daniel Otuni olchekut Nanena neno La baraka kwako
Enkiterunoto 49:25-26
Te Nkai e papaai lino laa ninye likiret iyie,Te Nkai Magilani laa ninye likimayian iyie,Too mayianat e keper e shumata.Imayianat oo neegut nairrag tiabori,imayianat oo lki o ene ng'uset. 26
Ore Imayianat e papaai linonaa Magil aalus too mayianat oo ldoinyo loo ntarasi,Ore nena tokitin sidain naaing'uaa ndoinyo oo ntarasi;metotonie ninche endukuya e Yosef,o emaupe eilo apa otoorori too lalashera lenyena.
🙏🙏Mwanzo 49:25-26 (KJV) Naam, kwa Mungu wa baba yako atakaye kusaidia; Kwa mibaraka ya mbinguni juu. Mibaraka ya vilindi vilivyo chini, Mibaraka ya maziwa, na ya mimba.
Mibaraka ya baba yako Imepita mibaraka ya milima ya kale, Vitu vinavyotamanika vya vilima vya milele; Na vikae juu ya kichwa cha Yusufu, Juu ya utosi wa kichwa chake aliye mkuu kati ya ndugu zake