Yego ngetich

Yego ngetich Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yego ngetich, Grocers, 22, Nandi.

01/12/2024

๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญHakuna watu roho mbaya k**a relatives wako๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Hao ndio watu mnacheka nao, mnakula nao unadani wanakupenda kumbe ndani yao imejaa chuki๐Ÿ’”hata kulike post yako hawaezi๐Ÿ’”. Hawataki kukuona hata siku moja ukiomoka๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Ukiwa kwa shida watakucheka, hawatakusaidia hata siku moja๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Unaita harambee wanakuja wanakuchangia hamsini hamsini baadae wanakusengenya ety wee ni ombaomba๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Hawa ni watu hata wakiona umekuwa na success kwa maisha yako wanaenda kwa waganga ndio maisha yako iharibike๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Wanaenda kwa wachawi wakuroge juu ya chuki๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Baadae unaanza kufura miguu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, mara kufura tumbo๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, mara kuumwa na kichwa๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, mara kuumwa na mgongo๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ. Unaanza kushangaa kwani shida imetoka wapi. Kumbe ni huyo relative wako ndio anataka kuharibu maisha yako aone umeteseka kwa maisha๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Amini Mungu na wazazi wako pekee๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ. Hata heri rafiki wa nje atakusaidia sana๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ. Ni hayo tu kwa sasa acha niende Kwa office narudi๐Ÿ™๐Ÿ™

23/11/2024

Imagine nimeenda kwa mama Musyimi nikapata anapika chaiโ˜บ๏ธakaniambia nikitambo nimtembelee nikae tukunyue๐Ÿ˜‹nikaona nikimwambia nikosawa atasikia vibaya nikasema wacha tu nikunyue hata k**a nimeshiba๐Ÿ™„kumaliza kupika akaniletea pamoja na Ngumu saba zingine hapo crunchy ๐Ÿคค

Akaniambia karibu, akienda kukaa akapigiwa simu akaniambia nikunyuange chai aende kwa mpesa kuna pesa anataka awekewe atumie grandpa Musyimi. Mimi nikaanzana na chai na kukula ngumu๐Ÿ˜‹ nikakula moja, mbili,tatu nik**aliza chai yangu

Sasa juu kuna chai alikuwa amejiwekea nikachukua tu badala ya ipoe............nne, tano,sita vile nimeuma ya saba chai kikombe ya pili ikaisha๐Ÿ™†na juu alikuwa ameacha chai na thermos hapo kwa meza nikasema wacha nijiongezee tena nimalize hako kangumu kasininyonge.Vile tu nimeinua thermos niweke chai ..................

Check first comment vile kumeenda ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

19/11/2024

Usimfurahishe mwanaume na mwili yako ety ndio akuoe. Utad*nyw*๐Ÿ˜ฉ my sister uachwe na mimba๐Ÿคฐ๐Ÿคฐ. Mimba ataruka na utalea pekee yako. Usikose kufurahia kuwa msichana ety juu ya mimba za mapema๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ. Hapo si rahisi manze, madem wa rika yako wakipata pesa kununua nguo fashion, wengine kununua bundles, wengine kununua chipoo wewe unapata zako ununue pambers ๐Ÿค”๐Ÿค”. Usipende kukuwa single mother hata kabla ufike 25 years wolai๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚โ™ฅ๏ธ๐Ÿ–๏ธ

19/11/2024

SIPENDI UJINGA๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ’”

1.unaomba Dem namba Kwa njia Dem Naye anakupea namba ya sub chief usiku unaanza kurusha mistari sub chief anakutumia 1bob mpesa kujua your official name anakutxt wewe mtoto wa KUFUFULE KESHO Saa mbili ikupate Kwa ofisi yangu kumbe
pia subchief hapendi ujinga

2.Unaenda sleepover Kwa mrembo masaa ya mechi inafika unatoa CD Tuskize ngoma๐Ÿ† Dem anakwambia leo tukule nyama๐Ÿ’ฆ unanyorosha Nyama Hadi unaskia poa after kumaliza unaona anameza ARV's kumbe mrembo hapendi ujinga๐Ÿ˜‚

3.Last Sunday nilienda kanisani maombi ya jioni masaa ya sadaka kufika kushika Kwa mfuko kurusha sadaka Kwa kikabu kumbe ni CD Mimi nikawacha tu ivo ju sipendangi ujinga.

4.but ubaya Nimegundua wewe kusoma hii ujinga yangu yote , Pia hupendi ujinga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”

18/11/2024

Ukitoka job jioni unakutana na Dem๐Ÿ’ƒ๐ŸšถKwa stage Hana fare(makofi tafadhali๐Ÿ‘)... Unamuuliza umlipie anakubali mnaingia Kwa matt๐ŸšŽ(makofi tena๐Ÿ‘).. mnakaa kiti same then anakuambia amepoteza Pesa zake zote, unashtuka๐Ÿ˜ณlakini unajikaza kimwanaume(makofi ya uoga๐Ÿ‘)
Unamuuliza k**a ataenda kudoz kwako anakumbali mnaenda( makofi Kwa Mkuu๐Ÿ‘)
Mnafika Kwa hao anaomba towel na anaenda bafu kuoga(makofi tafadhali ๐Ÿ‘)anatoka bafu anakuja mnapika, mnakula alafu mnajitupa Kwa bed(makofi jameni๐Ÿ‘๐Ÿฅฐ๐Ÿคฃ)
๐ŸŒง๏ธkidogo kidogo mvua inaanza kunyesha๐ŸŒง๏ธ(makofi Kwa wingi๐Ÿ‘)unaanza kumguza guza mara phaap stima zinapotea fyiuu๐ŸŒš(makofi wenzangu๐Ÿ‘)
Alafu Sasa wapi makofi ya kusoma ,,,,,,,,,,,,,,,,,,๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmakofi tena๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿคฃ
Makofi ya Mkuu jameni๐Ÿคฃ๐Ÿ‘๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
Ebu nifollow kwanza ๐Ÿคฃyegongetich

17/11/2024

๐—ง๐—”๐—ก๐—š๐—จ ๐—ก๐—œ๐—ฆ๐—ž๐—œ๐—˜ ๐—ฆ๐—œ๐—ญ ๐—”๐—ž๐—œ๐—”๐— ๐—•๐—œ๐—” ๐— ๐—ง๐—จ ๐—ช๐—”๐—ž๐—˜ ๐—”๐—ง๐—œ "๐—œ ๐—–๐—”๐—ก ๐—ž๐—œ๐—Ÿ๐—Ÿ ๐— ๐—ฌ ๐—™๐—”๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—ฌ ๐—•๐—˜๐—–๐—ข๐—ญ ๐—ข๐—™ ๐—ฌ๐—ข๐—จ"๐Ÿคฃ๐Ÿ˜œ๐—ก๐—”๐—Ÿ๐—”๐—Ÿ๐—”๐—ก๐—š๐—” ๐—ก๐—” ๐—ฃ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐Ÿคฃ๐Ÿ’”๐Ÿ˜‚๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ.. ๐Ÿ˜›

Address

22
Nandi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yego ngetich posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category