24/02/2026
Comrades! 😅
Hebu nielezee hii tabia bana…
Mbona mnaomba pesa in a very weird way?
Mtu anasema: “Bro nitumie 17 bob haraka sana.”
Ukiona ni kidogo unasema acha nitume 100 bob juu roho safi.
Alafu ghafla unasikia: “Eeeh sasa umeharibu hesabu… ongeza 23 bob.”
Sasa swali ni… hii ni hesabu ya shule gani? 😂
Si ungeomba tu ile pesa unataka from the start?
Ama kuna formula ya siri sisi hatujui?
Hii mambo ya kuongeza kuongeza k**a math ya CAT bana… clarify tu mapema usituweke kwa confusion.