23/03/2026
🤣🤣🤔🙆🤦🤦Nan alisema hakunaga uchawi?🤔Jana si nlitoka mjengo nkiwa nmechoka Ile mbya 🙄kufika Kwa 🏠 nkajitupa Kwa bed 🛏️ k**a ngunia ya viazi 🤔 kidogo kidogo kausingizi kakanishika😴😴nkaskia ""ngo,,ngo,ngo" kwa mlango❣️lakini mm ni nany siku fungua!😔nikadhani ni kabro kangu kevo🙎 kamekuja kujua nimekaletea nini 🙆si nikaendelea kulala mimi🤔kidogo kidogo akabisha Tena🙆👉🚪ikabidi niende 🚶kufungua mlango,,,,,wakuu😭kuweka tu mguu🦵 hivi chini🦶 ,juu ya usigizi 😲nkategwa na wire ya extension!!!!😭😭 nkaangukia meza Iko n woofer,🙆🙆woofer nayo chini 😢😢😢ikavuta wire ya tv,🖥️,tv chini paaah ikaisha😢😢ile wire ya socket nayo haikunihurumia😭😭😭 ikanipiga shock nkaangukia sufuria,sufuria na stand zikaangukia unga ikamwagika chini😢😢 bado tu kondoo🐏 inaendelea kubisha mlango🙄😢nkachanganyikiwa but nikang'ang'ana nkaamka,🥴🚶kufungua mlango🚪,nkapata jamaa na reflector ya Airtel akanambia "line ya Airtel free tunakuzawadi na free data bundles customer 🤔🙆
Nimepiga simu saa hii nasikia jamaa ameamishwa hosipitari akapelekwa ICU 🧑🦽
Spendi ujinga 😭😭😭