Offspring bobi

Offspring bobi 🀣🀣🀣🀣😎😎😎😎😍😍😍Anything good we vibe
HAVE DREAMS FOR MANY BEFOR AM GONE. Spread peace any place you visit.

We only have one chance to life other things another chance

mtoto ni wa mama ama baba?walimwengu naomba
08/03/2026

mtoto ni wa mama ama baba?walimwengu naomba

07/03/2026

morng

Goodnight early birds.
06/03/2026

Goodnight early birds.

06/03/2026
Vibes hapa zinaeza kuwa gani.
06/03/2026

Vibes hapa zinaeza kuwa gani.

MAISHA !!! MARA WENGINE MAJI NI SIDA YOU CAN CONFERM NA NORTHKENYA COUNTIES.VIOLATION NA BOSS NDIO MAANA MM HUWORK SO MU...
12/02/2026

MAISHA !!! MARA WENGINE MAJI NI SIDA
YOU CAN CONFERM NA NORTHKENYA COUNTIES.
VIOLATION NA BOSS NDIO MAANA MM HUWORK SO MUCH.
EEEH LAKINI WATU WAJITUME TUU KILA KITU ITAKUWA FINE ALAFU MAOMBI MBELE SAWA, WENYE DINI TUFWATE MAANDIKO CIO MSOMA MAANDIKO.
NEXT TIME NAWAPENDA BURE TUU YANII.

Waaaah maisha na mambo k**a bado kwako yako on the way, mm hapa kwenye niko i just thank God for it. ni story bigy walai...
12/02/2026

Waaaah maisha na mambo k**a bado kwako yako on the way, mm hapa kwenye niko i just thank God for it. ni story bigy walaiπŸ€—πŸ€—πŸ€—umbali huuu hata cina vile naeza elezea lakini nashindwa jinsi ya kufanya.toka nursery school ooooh ni God walai!!! Pre-school , primary na ata secondry school .yani kwangu naona tuu ni k**a a freshy morning ama ile evening sun cijui k**a unajua ile feeling huwanga k**a rain na jua ata same time.
Alafu ongeza songs napenda most, nakumbuka my childwood game nilipenda io time. Kwa hizo nakumbuka nilikuwa napenda dogy umbwa weeeh wacha tuu yani hiii story ni bigy saaana
Mungu tubariki wakati ukifika amen
Story kwa post next.

Leo wacha niwatake through my storyStory ,storyStory ni ya disco matanga kwa village kakamega county .Sasa iko ivi nikiw...
12/02/2026

Leo wacha niwatake through my story
Story ,story
Story ni ya disco matanga kwa village kakamega county .
Sasa iko ivi nikiwa form two hio baada ya corona virus we hope πŸ€”πŸ€”kila mtu anakumbuka.weeh sasa hapa ni after kula sapa we nilikuwa na cuzo angu mapishi alafu ng'ombe yetu ilikuwa imegive birth ,weeeh inshallah maisha matamu ,weeeh!!!cuzo kwenye uko Mungu akukumbuke kwa umbali huuu.raised by grandpa .God keep the soul of my grandpa in a peaceful plase in heaven,he took care of us like her children.
Nikiamka maombi alafu kujituma na bidiii
Mungu kila siku bariki kazi na maisha ya kondo wako.

$$story itaendelea kwa hio post next saiii..............see you.

Evening
11/02/2026

Evening

Focus,calm and collective.
11/02/2026

Focus,calm and collective.

Ushai Ushawai
11/02/2026

Ushai
Ushawai

Hapa umeona nini wewe ama ni mm macho yangu iko mbya.Uneona nn??
10/02/2026

Hapa umeona nini wewe ama ni mm macho yangu iko mbya.
Uneona nn??

Address

P. O BOX
Kakamega
26549047

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Offspring bobi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category