16/04/2026
THIS MUST STOP!!!!! 😡
Kumbe ni sisi tunakamuliwa hadi tutoke damu 😭😭
Mafuta imefika 209… wah, hii sasa imezidi kabisa!
Kila siku ni kupanda bei, maisha inakuwa ngumu, lakini sauti zetu hazisikiki. Mpaka lini tutanyamaza?
Tusaidiane kusema “WANTAM!” 💪💪
2027 watu waende nyumbani mapema asubuhi!
Unasema aje — tuko pamoja ama uko 2tam? 🤔